1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Kigoma: Zaidi ya watoto 300 wanaishi katika mazingira hatarishi

Prosper Kwigize (HON)19 Machi 2019

Tunaelekea magharibi mwa Tanzania, ambako tunaelezwa kuwa zaidi ya watoto 300 wanaishi katika mazingira hatarishi ikiwemo kutumikishwa kingono katika wilaya ya Kasulu mkoani Kigoma. Ungana na mwandishi wetu wa huko, Prosper Kwigize kwenye ripoti hii.

https://p.dw.com/p/3FIpV