Kenya na njia za asili kukabili mabadiliko ya tabianchi
Makala ya mtu na mazingira hii leo yanaangazia hatua zilizopigwa, changamoto, na maazimio ya Kenya kutumia mbinu asili na za kisayansi kupambana na mabadiliko ya tabia nchi. Mtayarishi wa kipindi ni Wakio Mbogho.