1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Juhudi za kukuza Kiswahili nchini Rwanda

Khelef Mohammed Mohammed15 Desemba 2020

Lugha ya Kiswahili imeanea katika maeneo mengi ya dunia. Na hivi leo Kinagaubaga tumemualika Profesa Pacifique Malonga katika kufahamu juhudi za kukuza lugha hiyo nchini Rwanda. Profesa Malonga ni mhadhiri mstaafu wa vyuo vikuu nchini humo na anazungumza na Mohammed Khelef.

https://p.dw.com/p/3mkjs