1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Jua umuhimu wa kupima afya yako

20 Aprili 2022

Wahenga wanasema kinga ni bora kuliko tiba. Ni vyema kuwa na tabia ya kupima afya mara kwa mara ili kutunza afya yako na kujikinga na magonjwa mbali mbali. Afya yako inaangazia umuhimu wa kujua afya yako, Neema Misheki ndi mtayarishaji wa kipindi hiki

https://p.dw.com/p/4AAB5