1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Jose Manuel Barroso

Jose Manuel Barroso ni mwanasiasa wa Ureno. ALikuwa rais wa Halmashauri Kuu ya Umoja wa Ulaya kwa miaka kumi kuanzia 2002.

Barosso, aliezaliwa 1956, alikuwa Waziri mkuu wa ureno kabla ya kuchaguliwa kushika wadhifa wa Umoja wa Ulaya. Baada ya kumalizika kwa muhula wake EU, alikuwa mwenyekiti asiemtendaji wa kampuni ya kimataifa ya Goldman Sachs.

Onesha makala zaidi