1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Jean-Claud Juncker

Jean-Claud Juncker ni mwanasiasa wa Luxembourg anaehudumu katika anfasi ya rais wa Halmashauri Kuu ya Umoja wa Ulaya tangu 2014.

Kuanzia 1995 hadi 2013 alikuwa waziri mkuu wa 23 wa Luxembourg na kati ya alikuwa waziri wa fedha kati ya kuanzia 1989 hadi 2009. Wakati anaondoka madarakani, alikuwa kiongozi wa serikali ya taifa aliehudumu kwa muda mrefu zaidi katika Umoja wa Ulaya.

Onesha makala zaidi