1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Je, vijana wanategemea teknolojia kupita kiasi?

Veronica Natalis
3 Machi 2026

Teknolojia imeleta mapinduzi makubwa katika maisha ya vijana, lakini utegemezi wake unaweza kupunguza uwezo wao wa kufikiri na kujitegemea. Hata hivyo, teknolojia ikitumika ipasavyo, inaweza kuwa nyenzo yenye nguvu ya kuinua uwezo wa vijana. Siri iko katika kuitumia teknolojia kama msaada na wala sio mbadala wa akili za kibinadamu.

https://p.dw.com/p/59jUi
Ruka sehemu inayofuata Kuhusu kipindi

Kuhusu kipindi

Kurunzi

Vidio ya habari na matukio