1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Je, unayo akaunti bandia ya mtandao wa kijamii?

Bruce Amani Alakonya10 Desemba 2019

Katika makala ya Vijana Mchaka Mchaka, Bruce Amani anatizama mtindo mpya wa watumiaji wa mitandao ya kijamii kufungua akaunti bandia ili kuweka mambo ambayo wasingeweza kuyaweka katika akaunti halisi. Je, wew unayo akaunti bandia au ungependa kusikia mawazo ya vijana? SIkiliza makala hii.

https://p.dw.com/p/3UY9r