1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Je unaufahamu mji wa Douala?

20 Novemba 2019

Mji wa Douala hujivunia baadhi ya majina ya wachezaji soka waliotia fora sana barani Afrika akiwemo Saamuel Etoo. Hii ni kando na kuwa mji huo kuwa kitovu cha biashara na uchumi wa Cameroon. Mwanamitindo Estelle Eteme anatuonyesha mji wa Douala.

https://p.dw.com/p/3TNcG