1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Je umesikia kuhusu mswaki wa kisasa unaotumia Bluetooth?

10 Machi 2020

kipindi cha Sema Uvume kinaangazia App maarufu ya TikoTok inavyotengeneza faida kupitia matangazo mbalimbali, na pia kitauangazia mswaki unaotumia App maalumu inayounganishwa kwa teknolojia ya Bluetooth kuhakikisha mtumiaji anakuwa na afya bora ya kinywa.

https://p.dw.com/p/3ZAOk