1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Je uchoraji tattoo huweza kusababisha saratani ya ngozi?

11 Oktoba 2021

Urembo wa tattoo ni miongoni mwa sanaa inayopendwa na baadhi ya watu hususan vijana. Lakini je uchoraji huo wa tattoo unaweza kusababisha madhara yoyote kwa mtu kiafya mfano saratani ya ngozi? Kurunzi ya Afya inajaribu kulijibu swali hilo.

https://p.dw.com/p/41WFu