Je, ni wakati wa Vijana kujitosa siasani? | Media Center | DW | 19.06.2018
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Media Center

Je, ni wakati wa Vijana kujitosa siasani?

Ukosefu wa ajira kwa vijana katika nchi nyingi za Afrika uko juu mno na serikali za bara hilo zinaonekana kutotilia maanani suala la ukosefu wa ajira. Ni suala ambalo linawafanya vijana kuingiwa na mawazo ya kuzihama nchi zao na kuelekea ughaibuni kutafuta ajira.

Tazama vidio 01:42
Sasa moja kwa moja
dakika (0)