1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Je ni nini maana ya 'Kwenda na Wakati'?

Angela Samwel Mdungu-Jokisch5 Septemba 2019

Je unadhani kwenda na wakati maana yake ni nini? Vijana wanaosema kuwa wanaenda na wakati wanaelewa maana haswa ya kwendana na wakati? Hilo ndilo tunalojadili katika kipindi cha vijana mchakamchaka. Mtayarishaji wa kipindi ni Angela Mdungu.

https://p.dw.com/p/3P4M1