Je, ngono imekithiri katika filamu na televisheni? | IDHAA YA KISWAHILI | DW | 29.04.2019
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

IDHAA YA KISWAHILI

Je, ngono imekithiri katika filamu na televisheni?

Katika cha Vijana mchakamchaka, tunauliza je, vipindi vya siku hizi kwenye televisheni vimegeukuwa kuwa vya ngono zaidi? Je, mzigo wa suala hilo unawaangukia wasichana wadogo?

Sikiliza sauti 09:45