1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Je akili bandia yaweza kutumika kwenye upasuaji wa ubongo?

Angela Mdungu-Jokisch10 Oktoba 2023

Upasuaji wa ubongo hufanywa ili kutibu matatizo mbalimbali, kama vile uvimbe, damu kuganda, kifafa, na maradhi mengine kama vile Pakinson. Makala ya Sema Uvume inaangazia upasuaji wa ubongo kutumia kifaa kipya cha teknolojia ya akili bandia. Mwandaaji wa makala ni Angela Mdungu.

https://p.dw.com/p/4XKl2