JAKARTA: Mafuriko Indonesia yameua hadi watu 40 | Habari za Ulimwengu | DW | 03.03.2007
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Habari za Ulimwengu

JAKARTA: Mafuriko Indonesia yameua hadi watu 40

Mporomoko wa ardhi uliosababishwa na mvua kali nchini Indonesia,umeua watu wasiopungua 40 na wengine darzeni kadhaa hawajulikani walipo, ikiaminiwa kuwa wamegubikwa na matope.Nyumba nzima zimesombwa na mafuriko yaliotokea katika kisiwa cha mashariki cha Flores,kufuatia mvua kubwa zilizonyesha kwa mfululizo.

Matangazo

Sikiliza Matangazo Yetu

Unaweza kusikiliza matangazo yetu hapa

Kusikiliza matangazo ya Idhaa ya Kiswahili ya DW, tafadhali bonyeza alama ya spika ya masikioni hapo chini, na kuwasiliana nasi, tafadhali tuandikie moja kwa moja kupitia: kiswahili@dw.com