1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

J3 26.07.2016 Matangazo ya jioni

SK2 / S02S26 Julai 2016

Francois Hollande amesema magaidi waliolivamia kanisa la Normandy na kuwateka nyara watu pamoja na kumkata kichwa padri mmoja mzee ni wafuasi wa dola la Kiislamu// Jee miji ya Munic,Würzburg, Reutlingen na Ansbach ina maana gani kwa Merkel anaetetea sera ya uwakaribisha wakimbizi?// Bill Clinton anatarajiwa kuwashawishi wajumbe wa mkutano mkuu wa Democratic.

https://p.dw.com/p/1JWEP