1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

J3 02.09.2016 Matangazo ya Jioni

SK2 / S02S2 Septemba 2016

Magufuli yuko kisiwani Pemba kwa mara yake ya kwanza tangu alipotwaa madaraka// Kongo- Mazungumzo yanaendelea ya kujaribu kutafuta mwafaka utakaoiepusha nchi hiyo kuingia katika vurugu za kisiasa baadae mwakani utakapomalizika muhula wa rais kabila madarakani// Putin amesema taifa lake na Marekani watakuwa karibu katika kufikia makubaliano kuhusu mgogoro wa Syria.

https://p.dw.com/p/1Jv2b