Marekani na Urusi zimesema zitalifikisha suala la jaribio la silaha za nyuklia liloofanywa na Korea Kaszini kwa Umoja wa Mataifa // Mataifa ya Jumuiya ya Afrika Masharik-EPA yamekubaliana kuendelea na majadiliano kwa miezi mitatu kuhusu kusaini mkataba wa ushirikiano wa kibiashara na Umoja wa Ulaya // Sudan-Jopo la wataalam wa Umoja wa Mataifa limekamilisha uchunguzi wake na kubaini kuwa mapigano.