ISLAMABAD:Musharraf ataka kutumia jeshi kubakia madarakani. | Habari za Ulimwengu | DW | 25.09.2007
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Habari za Ulimwengu

ISLAMABAD:Musharraf ataka kutumia jeshi kubakia madarakani.

Kiongozi wa kijeshi wa Pakistan jenerali Musharraf amesema ataendelea kuwa mkuu wa jeshi ikiwa hatachaguliwa tena kutumikia kipindi kingine cha urais.Mahakama kuu ya nchi imeambiwa hayo na serikali leo.

Tamko hilo linathibitisha kwamba jenerali Musharraf bado anaweza kulitumia jeshi ili kung’ang’ania madaraka ikiwa atashindwa katika uchaguzi.

Matangazo

Sikiliza Matangazo Yetu

Unaweza kusikiliza matangazo yetu hapa

Kusikiliza matangazo ya Idhaa ya Kiswahili ya DW, tafadhali bonyeza alama ya spika ya masikioni hapo chini, na kuwasiliana nasi, tafadhali tuandikie moja kwa moja kupitia: kiswahili@dw.com