ISLAMABAD: Shambulizi limeua 3 Baluchistan
9 Juni 2007Matangazo
Hadi watu 3 wameuawa nchini Pakistan,katika shambulizi la bomu lililofanywa Wilaya ya Baluchistan.Kwa mujibu wa polisi,mripuko huo ulitokea mji wa Hub.Tangu miongo kadhaa,waasi katika Wilaya ya Baluchistan wanapigania kuwa na uhuru wa uongozi wa ndani katika wilaya hiyo.