ICC yamkuta na Hatia kamanda wa zamani wa LRA Dominic Ongwen | Media Center | DW | 05.02.2021
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Media Center

ICC yamkuta na Hatia kamanda wa zamani wa LRA Dominic Ongwen

Kamanda wa zamani wa kundi la kikatili la waasi la Uganda LRA akutwa na hatia ya makosa 61 ya uhalifu dhidi ya ubinadamu na uhalifu wa kivita huko kaskazini mwa Uganda. Na kituo cha kudhibiti na kuzuia magonjwa barani Afrika CDC chaionya Tanzania dhidi ya kutochapisha data za wagonjwa wa Covid-19 na kusema ni hatua inayolihatarisha bara zima.Jiunge na Saumu Mwasimba katika Afrika wiki hii

Sikiliza sauti 20:09