1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

IAEA - Shirika la kimataifa la kuzuwia nyuklia

IAEA ni shirika la kimataifa la kudhibiti nishati ya nyuklia ambalo linapigania matumizi yaliyo salama na amani ya teknolojia ya nyuklia. Zaidi IAEA inadhibiti matumizi ya kijeshi ya silaha za kinyuklia.

IAEA iliasisiwa kama ni ngao ya kimataifa dhidi ya utumiaji mbaya wa taknolojia ya nyuklia na silaha za kinyuklia. Inaripoti moja kwa moja kwa Umoja wa Mataifa na shirika hili lilianzishwa 1957 na lina makao yake makuu mjini Viena, Austria.

Onesha makala zaidi