1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Hosni Mubarak

Mohammad Hosni Elsayed Mubarak ni mtawala wa zamani wa kijeshi na kisiasa wa Misri, ambaye alihudumu kama rais wa nne wa Misri kuanzia 1981 hadi 2011.

Kabla ya kujiunga na siasa Mubarak alikuwa afisa katika jeshi la anga la Misri. Alihuduma katika nafasi ya kamanda wa jeshi hilo kati ya 1972 na 1975 na kupanda vyeo hadi kufikia cheo cha Chifu Marshal wa jesi la anga. Aliteuliwa nkuwa makamu wa rais mwaka 1975 na rais Anwar Sadat, na alichukuwa urais Oktoba 14, 1981, siku nane baada ya kuuawa kwa Sadat.

Onesha makala zaidi