1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Hivi ulishawahi kuipokea zawadi usiyoipenda?

6 Februari 2020

Umewahi kupokea zawadi kutoka kwa rafiki yako na ukazuga kuipenda licha ya kwamba hukuifurahia zawadi hiyo? Je katika mazingira kama hayo utafanyaje au ingekuwa vyema kabla ya mtu kukununulia zawadi akuulize vitu gani unapendelea? Sikiliza maoni hapa, na wewe utuambie.

https://p.dw.com/p/3XLol