Hebu tuzungumzie tofauti kati ya kizinda na bikra | Media Center | DW | 18.11.2021
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Media Center

Hebu tuzungumzie tofauti kati ya kizinda na bikra

Nina hakika kwamba bado kuna wengi wanaoshindwa kutofautisha kati ya kizinda na bikra kwa wanawake. Hali hii huwagharimu wanawake wengi na hasa inapofikia hatua ya kuolewa. Wengine hutumia njia mbalimbali kukirudisha kuanzia za jadi hadi za kisaa zinazogharimu fedha nyingi tu. Tuna mtaalamu hapa anayetuambia kwa kina kuhusu kizinda.

Sikiliza sauti 09:45