1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW
Sanaa

Haya ndio maisha ya mwanamuziki Mr. P kutoka P-Square

8 Agosti 2018

Karibu kwa mara nyingine kwenye kipindi cha utamaduni na sanaa. Kipindi hiki kimekutana na msanii maarufu wa muziki barani Afrika na mwenye mafanikio makubwa sana kutokea Nigeria. Ni mwanamuziki anayeangaliwa kama mfano wa kuigwa na wasanii wengi sio tu nchini mwake Nigeria, lakini barani Afrika kwa ujumla wake, mwanamuziki Mr P wa kundi la P square, au Peter Okoye.

https://p.dw.com/p/32nvM