Harakati za kuokoa vyakula Ujerumani | Media Center | DW | 15.11.2019
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Media Center

Harakati za kuokoa vyakula Ujerumani

Makala ya Sura ya Ujerumani inaangazia harakati za kuokoa vyakula zinazofanyika nchini Ujerumani kama njia ya kupiga vita utupwaji mwingi wa vyakula unaofanyika katika nchi nyingi za Magharibi. Harrison Mwilima analiangazia hilo.

Sikiliza sauti 09:43