Hali ya usalama mjini Mombasa na Nairobi | Matukio ya Afrika | DW | 05.05.2014
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Matukio ya Afrika

Hali ya usalama mjini Mombasa na Nairobi

Nchini Kenya hofu ya kuzorota kwa usalama inazidi kuenea kufuatia mashambulizi ya magaidi yaliyosababisha vifo vya jumla watu wa watano mijini Nairobi na Mombasa mwishoni mwa wiki huku zaidi ya 70 wakijeruhiwa.

Mashambulizi ya mabomu mjini Nairobi tarehe 04.05.2014

Mashambulizi ya mabomu mjini Nairobi tarehe 04.05.2014

Kufuatia mashambulizi hayo Chama kikuu cha upinzani nchini humo Orange Democratic Movement ODM kimetoa taarifa kuitaka serikali iondoe wanajeshi wake nchini Somalia kama hatua ya kuzuia mashambulizi zaidi ya kulipiza kisasi kutoka kwa kundi la Al-Shabaab. Mwandishi wetu Alfred Kiti na taarifa zaidi. Kusikiliza taarifa hiyo bonyeza alama ya spika za masikioni hapo chini.

Mwandishi: Alfred Kiti

Mhariri: Mohammed Abdul-Rahman

DW inapendekeza

Sauti na Vidio Kuhusu Mada

Matangazo

IJUE DW

Unaweza kusikiliza matangazo yetu hapa

Kusikiliza matangazo ya Idhaa ya Kiswahili ya DW, tafadhali bonyeza alama ya spika ya masikioni hapo chini, na kuwasiliana nasi, tafadhali tuandikie moja kwa moja kupitia: kiswahili@dw.com