1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Hali ya dharura yaongezwa muda DRC

John Kanyunyu4 Agosti 2021

Bunge la Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo limeongeza muda wa ziada wa hali ya dharura katika mikoa ya Kivu ya Kaskazini pamoja na Ituri, ingawa wakazi wameipinga hatua hiyo ya utawala wa kijeshi.

https://p.dw.com/p/3yWbA