Hali Visiwani Komoro | Wafanyakazi wa Idhaa ya Kiswahili | DW | 26.03.2008
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages
Matangazo

Timu Yetu

Hali Visiwani Komoro

Uvamizi uliofanywa na majeshi ya Komoro na yale ya Umoja wa Afrika,AU, katika Kisiwa cha Anjouan, kumuondosha madarakani mtawala mweusi wa kisiwa hicho, Kanali Mohamed Bakari, umefanikiwa.

Wanajeshi wa Tanzania kisiwani Anjouan

Wanajeshi wa Tanzania kisiwani Anjouan

Majeshi hayo ya Komoro na pia yakiwemo kutoka Tanzania na Sudan, yameidhibiti hali ya mambo katika Anjouan, hivyo kutimiza ile ahadi alioitoa Rais Abdullah Sambi wa Komoro kwamba uasi uliofanywa huko Anjouan utamalizika karibuni.

Othman Miraji, alizungumza kwa simu na Salim Himid, waziri wa zamani wa mambo ya kigeni wa Visiwa vya Komoro, na kumuuliza sasa Visiwa vya Komoro vinaelekea wapi?

Matangazo

Sikiliza Matangazo Yetu

Unaweza kusikiliza matangazo yetu hapa

Kusikiliza matangazo ya Idhaa ya Kiswahili ya DW, tafadhali bonyeza alama ya spika ya masikioni hapo chini, na kuwasiliana nasi, tafadhali tuandikie moja kwa moja kupitia: kiswahili@dw.com