Hali ikoje Tanzania kuelekea uchaguzi mkuu wa Oktoba 28? | IDHAA YA KISWAHILI | DW | 09.10.2020
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

IDHAA YA KISWAHILI

Hali ikoje Tanzania kuelekea uchaguzi mkuu wa Oktoba 28?

Kipindi cha Maoni mbele ya Meza ya Duara leo kinapigia darubini hali ya kisiasa nchini Tanzania. Kampeni zimepamba moto, lakini pia zipo mada kochokocho ikiwemo uhuru wa vyombo vya habari na matumizi ya vyombo vya dola mfano polisi pamoja na haki za binadamu. Je waangalizi, wachambuzi, waandishi habari na wadau wengine wanazungumziaje hali ilivyo? Saumu Mwasimba ndiye mwenyekiti wa mjadala leo.

Sikiliza sauti 39:00