″Haki ya ushiriki, haki ya ujumuishi″ | Mapambano dhidi ya mauaji ya albino | DW | 22.06.2016
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages
Matangazo

Mapambano dhidi ya mauaji ya albino

"Haki ya ushiriki, haki ya ujumuishi"

Hiyo ndiyo kaulimbiu ya Siku ya Kutetea Haki za Maalbino Duniani, inayoadhimishwa kila tarehe 13 Juni. DW imezungumza na Musa Kabimba, Katibu Mkuu wa chama cha watu wenye ualbino Tanzania katika Kinagaubaga.

Sikiliza sauti 09:45

Kinagaubaga na Musa Kabimba

Sauti na Vidio Kuhusu Mada

Matangazo

Sikiliza Matangazo Yetu

Unaweza kusikiliza matangazo yetu hapa

Kusikiliza matangazo ya Idhaa ya Kiswahili ya DW, tafadhali bonyeza alama ya spika ya masikioni hapo chini, na kuwasiliana nasi, tafadhali tuandikie moja kwa moja kupitia: kiswahili@dw.com