1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Haarland ajishasha Bundesliga, Bremen yaisakama Bayern

Josephat Charo
23 Novemba 2020

Erling Haaland ang'ara mjini Berlin huku Bayern Munich ikilazimishwa sare maua nyumbani na Werder Bremen. Huko England, Liverpool yaisakama Leicester na kuparamia kileleni mwa ligi ya Premier pamoja na Tottenham.

https://p.dw.com/p/3ljSD