Francophonie yasimamisha uanachama wa Burundi | Matukio ya Afrika | DW | 08.04.2016
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages
Matangazo

Matukio ya Afrika

Francophonie yasimamisha uanachama wa Burundi

Jumuiya ya nchi zinazozungumza Kifaransa imefikia uamuzi huo kufuatia kudorora kwa hali ya usalama na ukiukwaji wa haki za binadamu. Aidha, inataka kushinikiza serikali ijadiliane na wapinzani.

Sikiliza sauti 02:44

Ripoti ya Amida Issa kutoka Bujumbura

Sauti na Vidio Kuhusu Mada