1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Fatah

Fatah ni chama cha Palestina kinachofuata nadharia za siasa za kizalendo ambacho kilihusika pakubwa katika mapambano ya ukombozi wa Palestina.

Kiongozi wa kisiasa wa Palestina Yasser Arafat alikiasisi chama cha Fatah mwishoni mwa miaka ya 1950. Kwa miaka kadhaa chama hicho cha ukombozi wa Palestina kilikuwa nguzo kuu ya harakati za ukombozi wa Palestina. Katika uchaguzi wa bunge wa mwaka 2006, Fatah ilipoteza wingi wake kwa Hamas, ambalo ni vuguvugu hasimu la Kipalestina.

Onesha makala zaidi