1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Facebook yazidi kuandamwa na misukosuko, twitter nako si shwari

Sylvia Mwehozi
1 Agosti 2018

Umekuwa ni mwaka mbaya kwa kampuni ya mtandao wa Facebook na wawekezaji wake, kuanzia suala la data za watumiaji, habari za uongo na kupungua kwa idadi ya watumiaji. Lakini je kampuni hiyo inafanya nini kurekebisha hali hiyo? Ni katika makala ya Sema Uvume na Sylvia Mwehozi.

https://p.dw.com/p/32QI6