1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Félix Tshisekedi

Félix Antoine Tshisekedi Tshilombo ni mwanasiasa katika Jamhuri ya Kidemokrasi ya Congo ambaye tangu 2019 ni rais wa taifa hilo. Alirithi mikoba hiyo kutoka kwa Joseph Kabila, alietawala kwa miaka 18.

Tshiesekdi ndiye kiongozi wa chama cha Unioni for Democracy and Social Progress UDPS, chama kikongwe zaidi na kikubwa nchini humo. Pia ni mtoto wa hayati Étienne Tshisekedi, waziri mkuu mara tatu wa Zaire na kiongozi wa upinzani. Tshisekedi alishinda uchaguzi wa rais wa mwaka 2018 licha ya malalimiko ya kuwepo kasoro kutoka kwa Kanisa Katoliki, Umoja wa Ulaya na makundi ya waangalizi. ushindi wake ulithibitishw ana mahakama ya katiba baada ya mgombea mwingine wa upinzani, Martin Fayulu kupinga matokeo.

Onesha makala zaidi