1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Edward Snowden

Edward Snowden, ni mtaalamu wa computer wa Kimarekani na wakala wa zamani wa shirika la usalama wa taifa NSA. Alipamba vichwa vya habari ulimwenguni baada ya kufichua udukuzi mkubwa unaofanywa na NSA duniani kote.

Edward Snowden ametajwa kuwa shujaa, msaliti, mzalendo na muasi. Ufichuaji wa nyaraka za siri kuhusu udukuzi wa kimataifa wa NSA ndiyo ulikuwa moja ya ufichuaji mkubwa zaidi katika historia ya Marekani. Serikali, raia, na wanaharati duniani kote waliitikia kwa ghadhabu kubwa kwa ufichuzi huo. Ukurasa huu ni mkanyiko wa maudhui za DW kumhusu Snowden.

Onesha makala zaidi