1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW
Historia

Eduardo Mondlane: Kiongozi aliyeiunganisha Msumbiji

Yusra Buwayhid
6 Februari 2020

Eduardo Mondlane alikuwa na ndoto ya kupatikana Msumbiji iliyo huru, yenye umoja na bila ya vizuizi vya wakoloni wa Ureno. Licha ya kuuliwa akiwa uhamishoni nchini Tanzania, lakini amewacha urithi utakaokumbukwa daima.

https://p.dw.com/p/3XLCd