1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Ebola yaathiri biashara ya nyama Congo

Bruce Amani
24 Mei 2018

Ni mojawapo ya masoko ya mji wa Mbandaka, katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo. Biashara ya nyama ya wanyama wa porini ambayo ni maarufu sana hapa, imeanza kupungua. Ni kwa sababu nyama ni moja kati ya vitu vinavyosambaza virusi vya Ebola

https://p.dw.com/p/2yGdY