1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

DW Michezo 14.06.2021

Babu Zingo14 Juni 2021

Wakala wa mchezaji wa timu ya taifa ya Denmark Christian Eriksen asema mchezaji huyo yuko imara baada ya kuzirai uwanjani//Kesho Jumanne, kutakuwa na patashika kali mjini Munich wakati timu ya taifa ya Ufaransa itakapokabana koo na miamba Ujerumani //Nchini Tanzania, Uchaguzi wa shirikisho la soka unaendelea kutokota wakati wagombea sita wa Urais kati ya kumi wakirudisha fomu

https://p.dw.com/p/3utRQ