1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

DW Michezo 11.01.2021

11 Januari 2021

Leipzig yazuiwa na Dortmund kukamata usukani wa Bundesliga, Schalke hatimaye yapata ushindi wake wa kwanza katika mwaka mmoja // Michezo ya Olimpiki nchini Japan itaendelea au la? Hilo ni suali linalozusha tumbo joto miongoni mwa wengi kutokana na janga la corona// Na kivumbi cha Kombe la Mapinduzi chaendelea kutimuliwa visiwani Zanzibar

https://p.dw.com/p/3nn8n