Dkt. Denis Mukwege apokea Tuzo ya Nobel | IDHAA YA KISWAHILI | DW | 10.12.2018
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

IDHAA YA KISWAHILI

Dkt. Denis Mukwege apokea Tuzo ya Nobel

Denis Mukwege kutoka Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo na Nadia Murad, mwanaharakati wa jamii ya Wayazidi, na ambaye ni manusura utumwa wa kingono mikononi mwa IS nchini Iraq na Syria wanakabidhiwa Tuzo ya Amani ya Nobel

Tazama vidio 01:25