Chombo cha anga za juu Perseverence cha NASA chaelekea Mars | Mada zote | DW | 30.07.2020
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

IDHAA YA KISWAHILI

Chombo cha anga za juu Perseverence cha NASA chaelekea Mars

Chombo kipya cha anga za juu kwa jina Perseverence kimeanza safari kuelekea sayari ya Mars kufanya utafiti. Chombo hicho cha tano kurushwa na NASA kuelekea Mars ndicho kikubwa na kizito zaidi.