1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Changamoto na mustakabali wa tafsiri katika Kiswahili

Khelef Mohammed Mohammed14 Januari 2016

Waswahili wamekuwa wakifanya tafsiri kwa kipindi chote cha uwepo wao kama jamii kutokana na muingiliano wao na wageni wa mataifa na mabara mbalimbali duniani. Lakini ni zipi changamoto za tafsiri kwenye ulimwengu wa sasa wa utandawazi na ni upi mustakabali wa tafsiri ya Kiswahili kama taaluma? Dk. Mark Kendagor na Dk. Magdalena Wafula wa Chuo Kikuu cha Moi, Kenya, wanafafanua.

https://p.dw.com/p/1Hcxs