1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Chama tawala Burundi kina uhakika wa kushinda

Grace Kabogo
16 Mei 2018

Chama tawala nchini Burundi cha CNDD FDD kimesema kina uhakika kitashinda katika kura ya maoni kuhusu marekebisho ya katiba itakaofanyika kesho.

https://p.dw.com/p/2xpoW