Burundi yakanusha watu wakimbia nchi | Matukio ya Afrika | DW | 10.02.2017
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Matukio ya Afrika

Burundi yakanusha watu wakimbia nchi

Mwakilishi wa shirika la Umoja wa Mataifa linalohudumia wakimbizi UNHCR ametakiwa kujieleza kwa Wizara ya Mambo ya Ndani baada ya kusema watu 500 wanaikimbia Burundi kila siku kuepuka machafuko ama njaa.

Sikiliza sauti 02:31
Sasa moja kwa moja
dakika (0)

Ripoti ya Amida Issa kutoka Bujumbura

                   

Sauti na Vidio Kuhusu Mada