Burundi: Mzozo wa miaka mitatu | Mada zote | DW | 16.05.2018
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Matukio ya Afrika

Burundi: Mzozo wa miaka mitatu

Mwezi Mei, tarehe 17, 2018, Waburundi wanapiga kura ya maoni ambayo huenda ikamruhusu Rais Nkurunziza kusalia mamlakani hadi mwaka 2034. Hatua ya kuongeza kipindi chake ilitokana na mzozo wa kisiasa. Ifuatayo ni ratiba.