Burundi haitoshirikiana na ICC | Matukio ya Afrika | DW | 10.11.2017
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Matukio ya Afrika

Burundi haitoshirikiana na ICC

Serikali ya Burundi kupitia waziri wake wa sheria imesema haitokubali Mahakama ya kimataifa ya makosa ya jinai ya ICC, kuendesha uchunguzi wake Burundi kama ilivyotangangazwa na mkuu wa mahakama hiyo.

Sikiliza sauti 02:51
Sasa moja kwa moja
dakika (0)

Hata hivyo msemaji wa chama cha Uprona kisichokubaliwa na serikali, Tatien Sibomana amekaribisha uamuzi huo wa ICC kufuatia kutowajibika kwa vyombo vya sheria nchini. Kwa mengi zaidi sikiliza ripoti ya mwandishi wetu Amida Issa kutoka Bujumbura.